1941 Air Attack: Plane Shooter โ gemu ya ndege za kivita ya arcade, inachezwa offline
Unakumbuka zile mashine za arcade za zamani, ambapo sarafu moja ilikupa dakika chache za raha? 1941 Air Attack inaleta raha hiyo kwenye simu yako. Ni gemu ya kuendesha ndege inayoshuka kutoka juu kwenda chini: chagua ndege yako ya kivita, kwepa mvua ya risasi na uangushe vikosi vya adui, meli kubwa za vita na ngome zinazoruka juu ya anga, jangwa na bahari za Vita vya Pili vya Dunia. Kila level 10 kuna boss mkubwa anakusubiri. Ni rahisi kuanza, ngumu kuacha, na unaweza kucheza bila internet.
โ๏ธ NDANI YA GEMU
โข Level 300+ katika sura 30, kila sura ikiwa na viwango 3 vya ugumu
โข Boss na miniboss 60+, aina 150+ za maadui, kuanzia meli za vita hadi zeppelin zenye chuma
โข Ndege 25+ maarufu za Vita vya Pili vya Dunia kutoka nchi 8
โข Ndege 2 za msaada zinaruka pembeni yako, kila moja na nguvu yake maalum
โข Campaign, Endless, Boss Fight na Abyss zinachezwa offline, hazihitaji data
โข PvP ya alama, mashindano na matukio mapya kila mwezi
๐ฉ๏ธ ENDESHA NDEGE ZA HISTORIA
Jaza hangar yako na ndege za kivita za kweli za enzi hiyo: P-51 Mustang, F6F Hellcat, P-47 Thunderbolt, P-36 Hawk na Spitfire, pamoja na A6M Zero, Bf 109, ndege ya jet He 162 na mshambuliaji SM.84. Ndege za msaada kama Ki-84 Hayate, C.202 Folgore, Lysander na PZL.50 Jastrzฤ
b zinaruka bega kwa bega nawe katika kila pambano la angani.
๐ฅ JENGA KIKOSI CHAKO
Kila ndege ya msaada ina nguvu yake: kuongeza kasi ya kufyatua kwa kikosi kizima, kunakili risasi za ndege yako kuu, au mwale wa laser. Jaribu jozi tofauti, fungua bonasi za Airport Synergy kadiri mkusanyiko wako unavyokua, na ugeuze kikosi chako kuwa jeshi la anga la kweli.
โฌ๏ธ PATA NGUVU KWA KUCHEZA
Kila level, zawadi ya kila siku na misheni ya kila siku inakupa rasilimali na vipande vya ndege, kwa hiyo mizinga na machine gun za ndege zako zinazidi kuwa na nguvu kadiri unavyoruka. Chagua ugumu unaokufaa na usonge mbele kwa kasi yako mwenyewe.
๐ฎ NAMNA ZA KUCHEZA
โข Campaign na Abyss: sura kwa sura, hadi zaidi ya level 300
โข Endless: mawimbi yanazidi kuwa magumu, boss kila level 5
โข Boss Fight: boss mpya kila siku, piga damage nyingi uwezavyo
โข PvP: shinda alama za marubani wengine katika mapambano ya mawimbi
โข Mashindano na matukio: ubao wa viongozi na matukio ya msimu
๐ถ HUNA BANDO? HAKUNA SHIDA
Campaign, Endless, Boss Fight na Abyss zinachezwa offline kabisa, kwa hiyo ni gemu nzuri ya kupitisha muda ukiwa kwenye matatu, daladala au wakati wa mapumziko bila kutumia data yako. PvP, mashindano na matukio tu ndiyo yanahitaji internet.
๐ฏ KWA WAPENZI WA MICHEZO YA VITA
Ulikua ukicheza gemu za arcade za ndege za mtindo wa 1945? Hapa utajisikia nyumbani. Kama unapenda michezo ya ndege, gemu za kupigana angani, plane games offline au airplane shooting games zenye action ya haraka, hii ni gem la ndege za kivita lililoundwa kwa ajili yako. Hata wapenzi wa space shooter watapata kasi ile ile ya arcade, sasa juu ya anga za Vita vya Pili vya Dunia.
Michezo ya vita, gemu za ndege na raha ya arcade ya zamani, vyote katika gemu moja. Kikosi chako kiko tayari, rubani.
Ndege za kivita game offline: airplane gun shooting games, michezo ya vita 1945
Ilisasishwa tarehe
1 Okt 2026
Michezo ya kufyatua risasi Ya ushindani ya wachezaji wengi *Inaendeshwa na teknolojia ya Intel®